Robben Island

South Africa / Western Cape / Cape Town /
 museum (en), kisiwa, UNESCO World Heritage Site (en)

Robben Island ni kisiwa kidogo 12 km mbele ya mji wa Cape Town (Afrika Kusini) katika Atlantiki. Kisiwa kina eneo la hektari 547, urefu ni 4.5 km na upana hadi 1.5 km.

Kisiwa kimejulikana kutokana na gereza lake na mfungwa mashuhuri Nelson Mandela. Wafungwa pamoja naye walikuwa Walter Sisulu, Govan Mbeki na Robert Sobukwe.

Siku hizi kisiwa ni makumbusho na hifadhi la kimazingira. Watimishi wanaoongoza wageni ni wafungwa wa zamani. Kipo kwenye orodha ya UNESCO ya Urithi wa Dunia.
www.robben-island.org.za/
Nearby cities:
Coordinates:   33°48'18"S   18°22'10"E
  •  807 km
  •  951 km
  •  1144 km
Array