León

Mexico / Guanajuato / Leyn /
 mji, millionaire city (en)

León (jina rasmi: León de los Aldamas) ni mji mkubwa katika jimbo la Guerrero. NNi pia mji mkubwa wa tano wa Mexiko. Ni mji upande wa kati ya nchi. Idadi ya wakazi ni 1,137,465, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 1,634,917. Eneo lake ni 1,219.67 km². Mji upo m 1,815 kutoka juu ya usawa wa bahari.
leon-mexico.com/index.php
Nearby cities:
Coordinates:   21°7'27"N   101°40'8"W
  •  38 km
  •  116 km
Array