Istanbul
Turkey /
Istanbul /
World
/ Turkey
/ Istanbul
/ Istanbul
/ Uturuki / Mkoa wa Istanbul
mji, capital city of state/province/region (en), former national capital (en)
Istanbul (inatajwa İstanbul kwa Kituruki) ni mji mkubwa katika Uturuki, zamani ulikuwa ndio mji mkuu wakati wa zama za dola la Ottoman hadi kufikia mnamo mwaka wa 1923. Jiji lilikuwa linajulikana tangu enzi za kale wakati mji unaitwa jina la Byzantium na Constantinople. Kuwepo kwa bandari katika mji wa Istanbul, kumepelekea mji huo kuwa kitovu cha biashara katika Uturuki. Kikawaida mji wa Istanbul upo sehemu zote mbili, bara la Asia na Ulaya. Idadi ya wakazi wa huko wapo kati ya mil. 11 na mil. 15, ambao wanaufanya mji huo kuwa miongoni mwa miji mikubwa katika Ulaya.
Wikipedia article: http://sw.wikipedia.org/wiki/Istanbul
Coordinates: 40°59'22"N 28°55'38"E
Array