Timbuktu

Mali / Tombouctou /
 mji, UNESCO World Heritage Site (en)

Timbuktu (kifaransa: Tombouctou; kiarabu: تمبكتو) ni mji nchini Mali kusini ya jangwa la Sahara takriban kwa umbali wa 13 km na mto Niger. Leo kuna takriban wakazi 32,000.
Coordinates:   16°46'14"N   3°0'25"W
Array