Wikimapia is a multilingual open-content collaborative map, where anyone can create place tags and share their knowledge.

Rio de Janeiro | mji, capital city of state/province/region (en), municipality (en), UNESCO World Heritage Site (en), former national capital (en), millionaire city (en)

Brazil / Rio de Janeiro /
 mji, capital city of state/province/region (en), municipality (en), draw only border (en), UNESCO World Heritage Site (en), former national capital (en), millionaire city (en)

Rio de Janeiro ni mji mkubwa wa pili nchini Brazil baada ya São Paulo. Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi 21 Aprili 1960. Leo ni mji mkuu wa jimbo la shirikisho la Rio de Janeiro. Mwaka 2000 rundiko la jiji lilikuwa na wakazi 5,473,909.

Rio de Janeiro ni mji wa Brazil unaojulikana zaidi kote duniani. Ni kitovu cha utalii na cha utamaduni. Kanivali yake inavuta wageni wengi kila mwaka. Mlima wa Corcovado unabeba Sanamu ya Mwokozi ambayo ni sanamu kubwa ya Yesu yenye kimo cha 30 m.
Coordinates:   22°53'11"S   43°25'27"W
Array