Ziwa Nyasa
Malawi /
Nkhata Bay /
World
/ Malawi
/ Nkhata Bay
/ Nkhata Bay
/ Msumbiji / /
jito
Add category
Ziwa la Nyasa (katika Malawi: Lake Malawi; katika Msumbiji: Niassa) ni kati ya maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki ikiwa na nafasi ya tatu baada ya Viktoria Nyanza na Ziwa Tanganyika. Lina urefu wa 560 km na upana wa 50-80 km. Vilindi vyake vinaelekea hadi 704 m chini ya uwiano wa maji yake. Ziwa Nyasa limepakana na nchi za Malawi, Msumbiji na Tanzania.
Wikipedia article: http://sw.wikipedia.org/wiki/Ziwa Nyasa
Nearby cities:
Coordinates: 11°58'7"S 34°35'38"E