Wikimapia is a multilingual open-content collaborative map, where anyone can create place tags and share their knowledge.

Teresina

Brazil / Piaui / Teresina /
 mji, capital city of state/province/region (en), municipality (en), draw only border (en)

Teresina ni jina la mji mkuu wa jimbo la Piauí katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 800,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 72 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Coordinates:   5°11'8"S   42°46'43"W
Array