Wikimapia is a multilingual open-content collaborative map, where anyone can create place tags and share their knowledge.

Kisiwa

Serbia and Montenegro / Central Serbia / Lucani /
 Upload a photo

Kisiwa ni eneo la nchi kavu ndani ya bahari, ziwa au mto linalozungukwa na maji wakati wote. Ukubwa wake hautoshi kuitwa "bara".

Visiwa vilivyoko karibu kama kundi mara nyingi huitwa "funguvisiwa".

Tofauti kati ya kisiwa kikubwa na bara dogo limeamuliwa kati ya

Greenland inayoitwa kisiwa kikubwa duniani chenye eneo la kilomita za mraba milioni 2.1 na
Australia inayotazamiwa kuwa bara dogo duniani lenye eneo la kilomita za mraba milioni 7.7.
Nearby cities:
Coordinates:   43°52'53"N   20°6'56"E
  •  137 km
  •  173 km
  •  282 km
Array