Chuo cha Ustawi wa Jamii (Дар-эс-Салам)

Tanzania / Pwani / Magomeni / Дар-эс-Салам
 Upload a photo

Nearby cities:
Coordinates:   6°46'21"S   39°14'16"E

Comments

  • naomba kujua sifa za muombaji kujiunga na chuo
  • NAHITAJI KUFAHAMU TARATIBU ZA KUJIUNGA NA CHUO
  • naomba kujua sifa za muombaji kujiunga na chuo hicho na taratibu zake
  • NAOMBA KUJUA SIFA MUOMBA NA TARATIBU ZA KUJIUNGA
  • NAOMBA KUFAHAMISHWA TAREATIBU ZA KUJIUNGA NA CHUO CHA USTAWI WA JAMII BUHARE
  • Naomba kujua colification ya kujiunga na certificate ya HRM
  • napenda nijue sifa za kujiunga na vyuo vya ustawi wa jamii na taratibu zake.
  • napenda kujua jinsi ya kujiunga na chuo cha ustawi wa jamii
  • NITAPATA WAPI FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO CHA USTAWI WA JAMII HOMBOLO
  • napenda kujua ubora wa chuo
  • naomba kujua sifa za muombaji
  • SOMA DAILY NEWS YA TAR 22MARCH NA NIPASHE YA TAR 26 MARCH UTAPATA MAELEKEZO YOTE.
  • naomba kujua sifa za kujiunga na chuo cha ustawi wa jamii katika ngazi ya certificate ya human resource
  • nataka kufahamu sifa za kujiunga na chuo
  • naomba kujua sifa ya kujiunga na chuo ngaz certificate.
  • Naomba form ya kijiunga na chuo cha Ustawi wa Jamii Buhare
  • naomba nijue utaratibu wa kujiunga na chuo pia na sifa za muombaji
  • Naomba kujua mwisho wa kutoa fomu za kujiunga na vyuo 2012
  • naomba kujua kozi zitolewazo na sifa zake kwa mwombaji
  • naomba kufahamu sifa za muombaji na kozi zitotole wazo
  • naomba kujua sifa za waombaji
  • form za kujiunga ziwekwe mtandaoni
  • Naomba kujua masharti ya kujiunga na vyuo vya ustawi wa jamii ngazi ya cheti
  • Naomba idadi ya vyuo ngazi ya cheti
  • Napenda kujua sifa za kujiunga na chuo chs ustawi wa jamii
  • naomba kujua jinsi ya kujiunga na form zinapatikana wapi
  • naomba kujua sifa za muonbaji
  • ningependa kufahamu sifa za muombaji kwa diploma ya sheria,human resource management na industrial relation
  • Naomba kujua sifa za kujiunga na chuo;nahasa walio maliza kidato cha nne pamoja na wasio maliza kidato cha nne.
  • nataka kujua usajili wa 2013 january unakuwaje kwa ambae hakuchukuwa fomu ya kuomba kujiunga na chuo
  • Show all comments
  •  182 km
  •  309 km
  •  412 km
  •  660 km
  •  705 km
  •  744 km
  •  846 km
  •  1119 km
  •  1906 km
  •  2254 km
This article was last modified 16 years ago