Chuo cha Ushirika (Моши)

Tanzania / Kilimanjaro / Moshi / Моши / Sokoine Road
 college of further education / higher education (en)  Add category
 Upload a photo

Chuo cha Ushirika is a college of further education / higher education (en) located at Sokoine Road in Моши. Chuo cha Ushirika - Моши on the map.
Nearby cities:
Coordinates:   3°20'11"S   37°20'21"E

Comments

  • Ninauliza form ya kujiunga na chuo kwa sisi wa dar tutazipataje..ndio hilo tu
  • Nahitaji kujiunga na chuo cha ushirika nipo Dar naulizia kuhusu form za kujiunga nitazipata wapi? E-mail:saulsamaje@yahoo.Com
  • Napenda kuuliza kwa dar tutapataje form za kujiunga n'a certificat.sixberthj@yahoo.com
  • Nauliza kama umesomea diploma ya development planning unaweza ukasomea nini kwenye chuo cha ushirika pamoja na form za kujiunga zanapatikana wapi?
  • Je mnapokea mwanafunzi kwa ajili ya diploma tu bila certficate ikiwa anachet kizuri cha form 4
  • nahitaji kujua kama chuo kinatoa masters ya community development
  • kwa sisi wa mikoani fomu tunazipataje?
  • fomu za kujiunga na chuo zinatoka lini?
  • ivi jamani mnatusaidiaje kwa sisi wa mikoani kupata fomu kwa mfano mimi nipo iringa na nataka kujiunga apo chuoni
  • nahitaji fomu ya kujiunga na diploma 2012\2013
  • Je kwa sisi wa Mwanza tutapataje form
  • Fomu za kujiunga na chuo zinatoka lin?
  • napenda kuuliza mshaanza kutoa fomu? na mnachukua kuanzia ufauli gani? kwa sisi wa arusha tunapataje fomu za kujiunga
  • Show all comments
This article was last modified 10 years ago